Exodus 22:21-22

21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.

22 a“Usimdhulumu mjane wala yatima.
Copyright information for SwhNEN